Tiba Asili App

Tiba Asili App

Jifunze tiba asili na mitishamba
Jifunze kuhusu uchawi wa kale
Jifunze kuhusu ulimwengu wa majini

Kwanini utumie App hii

Ni App namba moja inayokuweza kujifunza kuhusu tiba za mitishamba!

Ni App inayoendeshwa kitaalamu

Maudhui ya App hii yanachapishwa moja kwa moja na mtaalamu wa tiba za asili na jadi

Kufahamu dawa ya ugonjwa popote

Kupitia App utaweza kutambua dalili za magonjwa mbali na dawa za sahihi za asili za kutibu magaonjwa hayo

Elimu ya majini

Ikiwa unatamani kufahamu kwa undani kuhusu elimu ya viumbe visivyoonekana kama majini na mizimu basi App hii inakufaa

Maoni kuhusu App hii ya Tiba Asili

Maoni ya watumiaji mbalimbali wa App hii:
Nimetumia App hii kwa muda tangu 2021, nashkuru imenisaidia sana na nimejifunza mengi kuhusu tiba lishe
Ismail
Ismail
Apr 7, 2025
Kwangu mimi ni App nzuri, naendelea kufatilia utabiri wa nyota wa kila siku
Aisha
Aisha
Mar 27, 2025
Aisee mwanzo nilidhani App hii ni ya wachawi kwa namna mnavyoelezea mambo ya giza kwa undani. Nimeipenda sababu napenda kujifunza kuhusu uchawi mweusi.
Dickson
Dickson
Mar 13, 2025

Join the fun on Tiba Asili App social media!

Follow the latest and interesting things about Tiba Asili App

Maswali ya mara kwa mara

Tafadhali angalia maswali yanayoulizwa mara kwa mara kabla ya kuwasiliana nasi.

Kwanini App haipo Playstore?

App hii ya Tiba asili na za jadi haipatikani Google Playstore kutokana na sera zao ambazo haziruhusu kuweka App za namna hii. Unaweza kuipata App hiii Amazoni Appstore, Getapp store, Apk pure, na store nyingenezo

App hii ya tiba asili ni bure?

Ndio ni bure ingawa unaweza kulipia kiasi kidogo tu kupata muda wa ziada ili kujifunza kila siku.

Mbona App haikubali kuinstall?

App hii haipo Playstore hivyo unatakiwa kuidownload na kuinstall Manually. Huenda ikakuletea onyo kuwa App sio salama, puuza onyo na uendelee kuinstall. Onyo hilo hutokea unapojaribu kuinstall app yoyote nje ya Google playstore

Je Vitabu ni vya namna gani?

Vitabu kama vile uchawi wa kale, ulimwengu wa majini, elimu ya nyota na ramli, uchawi mweusi n.k vinapatikana katika PDF. Utaweza kudownload PDF hizo zote katika App

Je naruhusiwa kutoa copy vitabu?

Ndio, unaruhusiwa kutoa copya ya vitabu vyetu kwa ajili ya kujisomea pekee na sio kuviuza. Haki miliki zimehifadhiwa.

Jaribu sasa App hii ya tiba Asili!

Masomo mapya kila siku kuhu tiba nyota majini uchawi n.k.
Let's keep in touch!
Subscribe to our newsletter for the latest news and updates.
By subscribing, you agree to Tiba Asili App Privacy Policy.